imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 51,053
- 80,030
- Sep 28, 2024
- #21
Bueno said:
Bomu lile umeliona lakini lina rangi ya chocolate
Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 11,714
- 21,080
- Sep 28, 2024
- Thread starter
- #22
Sodoku said:
Ila tulisema kuwa Hassan Nasrallah yupo salama. Naona sasa tumekubali kuwa ameuawa. Na sisi hatuna msimamo.
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,735
- 51,321
- Sep 28, 2024
- #23
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Haina shida! Akiitakia amani Israel atapewa amani. Lau, akitaka vita mayahudi wanapenda vita haoo! Wanaijua vita waleee! Achague mwenyewe.
2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,066
- 4,605
- Sep 28, 2024
- #24
Kama ni mm ningekataa
imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 51,053
- 80,030
- Sep 28, 2024
- #25
Sir John Roberts said:
Kufa siyo ajabu kwani wewe hautakufa au unadhani Netanyahu ataishi milele?
Mkishazidiwa ndio huwa mnaleta maneno ya kujifariji kama haya solution ni Acheni Ugaidi.
M
Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 14,090
- 53,109
- Sep 28, 2024
- #26
kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi
Alikufa Hamza mjomba wake mtume kwenye vita vya uhudi lakini struggle zikaendelea itakuwa Nasrallah?
Nasrallah kafa shahid akitetea wapalestina!
Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,273
- 6,808
- Sep 28, 2024
- #27
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Huyu hana hata miezi 2 atamfuata kiongozi wao!
Waka Waka
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 865
- 1,237
- Sep 28, 2024
- #28
Ningekua mm nakataa kwakua nauliwa na mtoa roho!! Israel peleka moto kweli kweli mpk wakubali.sema raha kuwahi bikra 70.
All the best
Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,250
- 2,846
- Sep 28, 2024
- #29
Sir John Roberts said:
Kufa siyo ajabu kwani wewe hautakufa au unadhani Netanyahu ataishi milele?
Hakuna anayesema ataishi milele. Hata kama unajua utakufa sidhani kama umewahi enda simama gari ikugonge. Ukiishi kwa Upanga utakufa kwa Upanga. Anyway tuendelee kuwafariji wafiwa. Ayatollah amefichwa anaogopa kufa.
K
Kosugi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 14,461
- 22,072
- Sep 28, 2024
- #30
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,735
- 51,321
- Sep 28, 2024
- #31
Waka Waka said:
Ningekua mm nakataa kwakua nauliwa na mtoa roho!! Israel peleka moto kweli kweli mpk wakubali.sema raha kuwahi bikra 70.
All the best
Unakataa teuzi? Unaidhalilisha mamlaka? Hutobaki salama.
M
Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 12,874
- 9,982
- Sep 28, 2024
- #32
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Ashaandika wosia?
M
Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 12,874
- 9,982
- Sep 28, 2024
- #33
Kosugi said:
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Watu dhalimu wote LAZIMA waiondoke dunia hii. Next Putin! Ahahahahaha!!
Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 11,714
- 21,080
- Sep 28, 2024
- Thread starter
- #34
Mtoto wa Shule said:
Ashaandika wosia?
Kashaandika mpaka atakae mrithi. Bampa to bampa yani
Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,273
- 6,808
- Sep 28, 2024
- #35
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
R.I.H in Advance!
Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 11,714
- 21,080
- Sep 28, 2024
- Thread starter
- #36
Kitimoto said:
R.I.H in Advance!
Mpaka anaondoka atakua kashakula vichwa vya kutosha.
kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,470
- 7,137
- Sep 28, 2024
- #37
Sir John Roberts said:
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Uzur Allah yeye ni kuandaa bikira. Muda sio mrefu nae wanae
Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 11,714
- 21,080
- Sep 28, 2024
- Thread starter
- #38
Kosugi said:
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Vitani unabadilisha strategy unaendelea mbele madhaifu Yao siyo wao tu wanayajua hata sisi tunayajua. Kwani wewe hujui kwanini Israel anatamba uwanja wa vita? Hautakiwi kurudi nyuma ukirudi unampa adui ushindi. Hezbollah wapo vizuri sana ila wamezungukwa na ma spy wa Israel ambao ni wenzao lakini pia Israel anasapoti kubwa ya fedha na silaha za teknolojia ya juu kutoka marekani. Hapa juzi wameongezeka Dola Bilioni 8 kwahiyo ni kwamba jamaa wanapambana na jabali tuwape hongera wanajitahidi sana hawapaswi kukatishwa tamaa.
M
Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 12,874
- 9,982
- Sep 28, 2024
- #39
Sir John Roberts said:
Kashaandika mpaka atakae mrithi. Bampa to bampa yani
Hapo sawa. Asubirie tu kuharakishwa kupewa mabikira 72 na kunywa mvinyo mtamu kutoka kwenye mito inayotiririsha mvinyo huo! Ahahahahaha!!!
Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,250
- 2,846
- Sep 28, 2024
- #40
Sir John Roberts said:
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Al Jazeera nmeangalia sijaona. Israel washenzi wale wanakupiga wananyamaza wanakuacha mwenyewe ulie... Ila safari hii wameamua hasa. Irani anasemaje mpaka sasa?au bado ana unya unya tu? Maana Netanyau kasema hakuna sehemu wao hawawezi fika ndani ya Irani
You must log in or register to reply here.